Jinsi ya Kutengeneza Mpesa VISA Card kwa kutumia USSD Code
Hatua ya kwanza bofya * 150 * 00 #
Chagua namba 4 (Lipa kwa Mpesa)
Chagua namba 6 (Mpesa VISA Card)
Chagua namba 1 (Tengeneza Kadi)
Baada ya hapo utapokea namba za kadi yako zikiwa pamoja na CVV